Viwakilishi vya sifa

Mifano
  • 'Mfupi amelala
  • Mjinga hayupo
  • Mbaya atakuja
  • Mwalimu mkali amepita

Viwakilishi vya sifa ni neno/maneno ambayo hutaja sifa - yanayosimama badala ya nomino inayosifiwa.

Mifano
  • Warefu wamesimama
  • Mzuri amepita
  • Kibaya kinajitembeza
  • Mpole amekuja
  • Mwelevu hukaa kimya

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search